Wakati wake ulikua umefikia ukomo na hapakua na namna yeyote tena ya kumsaidia zaidi ya kusubiria kifoMimi naona wangeweza kuendelea kumsaidia kwenye mambo ya maana kama elimu. Wangeweza kuchangisha au kuomba scholarship kwenye hiyo kampuni ya ndege.
Kuna kusoma kuelewa na kusoma kuwahi kucomment.Mimi naona wangeweza kuendelea kumsaidia kwenye mambo ya maana kama elimu. Wangeweza kuchangisha au kuomba scholarship kwenye hiyo kampuni ya ndege.
Inaskitisha sana, anyway.. Hiyo ni natural selectionKwenye picha chini ni mvulana wa miaka 10 kutoka Ghana aliyekufa kwa Saratani. Wazazi wake hawakuwa na pesa ya matibabu hivyo alikaa nyumbani hadi hali yake ilipokua mbaya zaidi, na kubaki na siku chache za kuishi.
Akiwa hospitalini, aliomba hsopitali imsaidie kutimiza ndoto yake ya kupanda ndege kabla hajafa. Hospitali hiyo ilimsaidia kutimiza ndoto yake.
Hisia ya kujua kwamba utakufa hivi karibuni inavunja sana moyo wangu💔
View attachment 2666157View attachment 2666158View attachment 2666160