Singida ndio home JF-Expert Member Joined Feb 23, 2012 Posts 3,188 Reaction score 3,370 Feb 8, 2017 #1 Aisee kuna siku kichwa kilinigonga hayo maumivu yake sio ya mchezo, Yani nlikiwa nahisi pfunk anapiga nyundo kichwani ..... Tupe experience yako kuhusu maumivu uliyoyapata, chanzo na hali ilivyokuwa...
Aisee kuna siku kichwa kilinigonga hayo maumivu yake sio ya mchezo, Yani nlikiwa nahisi pfunk anapiga nyundo kichwani ..... Tupe experience yako kuhusu maumivu uliyoyapata, chanzo na hali ilivyokuwa...
clauscosmas Member Joined Nov 16, 2014 Posts 20 Reaction score 13 Feb 8, 2017 #2 kujigonga wakat nina usingz dahhh ni maumiv makali