Kitu gani kinachomfanya Dkt. Bashiru aweweseke hadi kutamani Membe arejee CCM?

Si hivyo tu, yaani kwamba "hayupo tayari kabisa kusikia demokrasia ya vyama vingi."

Hataki kusikia upinzani toka sehemu yoyote hata ndani ya chama chake. Si hivyo unaona akina Membe, Kinana, Makamba wote walivyofanywa?
 
Wanataka arejee ili kupunguza idadi ya push ups wakati wa kampeni, maana Membe pia sio tu anaziweza push ups bali hata karete na judo anaweza
 
Imani yangu umemsikiliza Bashiru ispokua hujamuelewa ,au umemuelewa ispokua umeamua kupotosha
 
Kumpoteza mwanachama ni msiba, neno mwanachama maarufu sikulisikia. Alitamka mwanachama.
 
Wanataka arejee ili kupunguza idadi ya push ups wakati wa kampeni, maana Membe pia sio tu anaziweza push ups bali hata karete na judo anaweza
Hahaaaaaa......... 😁 πŸƒβ€β™€οΈ

Umenichekesha sana Mkuu kavulata, hapo uliposema Membe ni bingwa wa karate na judo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…