Kitu gani kinakuvutia kwenye siasa za Marekani ambacho unatamani wanasiasa wa Tanzania wakiige?

Kitu gani kinakuvutia kwenye siasa za Marekani ambacho unatamani wanasiasa wa Tanzania wakiige?

sem2708

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
5,414
Reaction score
4,534
Kwa mtizamo wako, je unaona mfanano wowote kati ya hivyo vyama? Kwa mfano - kwa upande wa USA, Democratics wengi wanaishi mjini na wengi ni graduates wa vyuo.

Lakini pia demo wengi ni wahamiaji na kwa upande mwingine Replicans ni wazungu, na wengi ni wa vijijini na wengi hawana degree. Haya sasa, tufananishe with facts
 
USA POLITICS VS TANZANIA POLITICS: Je kitu gani kinakuvutia kwenye siasa za USA ambacho unatamani wanasiasa wa kwetu wakiige?

Mimi ninachotamani ni jinsi ambavyo kura inaombwa kwa udi na uvumba, yaani inapatikana kwa shida sana ... Yaani unaona jinsi ambavyo wananchi wanajua thamani ya kura zao na wana siasa nao wanavyohangaika kuwashawishi wawape kura...

Je kwetu hali ikoje?
 
Uzi wa ngapi huu unaanzisha ndugu Expert member??
 
Republicans wanapendelea zaidi serikali kuu ndogo, watu wasipatiwe msaada na serikali bali wajitegemee wenyewe, kusiwepo sheria za bunduki, matajiri walipe kodi kidogo, serikali kuingilia masuala ya mapenzi/mahusiano ya raia, hawapendelei wahamiaji. Democrats ni Kinyume chake.
 
Sasa maendeleo ya USA unayafananisha na Tanzania?
Hapana mkuu ila tunaweza jifunza kidogo kwa walioendelea... nadhani njia nzuri ya kujifunza ni kujifunza kwa aliye kuzidi... au unataka tujifunze Uganda kwa comrade Mseveni?
 
Hapana mkuu ila tunaweza jifunza kidogo kwa walioendelea... nadhani njia nzuri ya kujifunza ni kujifunza kwa aliye kuzidi... au unataka tujifunze Uganda kwa comrade Mseveni?
Hatuendani mdau.
Wao walishaendelea sana.

Na Maendeleo na Demokrasia ni part and percel...
 
USA POLITICS VS TANZANIA POLITICS: Je kitu gani kinakuvutia kwenye siasa za USA ambacho unatamani wanasiasa wa kwetu wakiige?

Mimi ninachotamani ni jinsi ambavyo kura inaombwa kwa udi na uvumba, yaani inapatikana kwa shida sana ... Yaani unaona jinsi ambavyo wananchi wanajua thamani ya kura zao na wana siasa nao wanavyohangaika kuwashawishi wawape kura...

Je kwetu hali ikoje?
Mimi naamini wananchi wa Marekani licha ya kuwa na elimu lkn mbumbu. Itawezekanaje pesa zao zitumike kuaangamiza watoto wa Gaza huku wao wakiwa kimya?
 
Kwa mtizamo wako, je unaona Mfanano wowote kati ya hivyo vyama? Kwa mfano - Kwa upande wa USA,Democratics wengi wanaishi mjini na wengi ni graduates wa vyuo.. Lakini pia demo wengi ni wahamiaji .na kwa upande mwingine Replicans ni wazungu, na wengi ni wa vijijini na wengi hawana degree... Haya sasa, tufananishe ... with facts
Tanzanian politics has completely nothing good to explain apart from devilish acts we ever always experiencing.
 
Kama timu za mpira, analinganisha timu ya Umishimuta na UEFA champion
Havifanani kabisa.

Imagine aibuke Bakhresa au Mo hapa Tz aanze kumpigia kampeni tajiri mwenzie Mbowe. Itakuwaje? unaipata picha lakini?
 
Tanzania hakunaga uchaguzi na viongozi wa mihimili yotee ni makada wa CCM.tume ya uchaguzi ni makada wa CCM.yaani kwa ujumla watanzania ni binadamu wa ajabu kwenye uso wa hii Dunia.nadhani kuna wakati ata watawala wenyewe huwa wanakaa wanatushangaa.lakini pia ata wanajeshi wetu hawatendi haki kabisaa.yaani hii nchii ata ukiamua kuiuza hakuna watakahokufanya hawana uzalendo.
 
Ila haujadadavua vizuri mkuu zaidi umetema nyongo lakini ahsante kwa comment yako
 
Kwa mtizamo wako, je unaona mfanano wowote kati ya hivyo vyama? Kwa mfano - kwa upande wa USA, Democratics wengi wanaishi mjini na wengi ni graduates wa vyuo.

Lakini pia demo wengi ni wahamiaji na kwa upande mwingine Replicans ni wazungu, na wengi ni wa vijijini na wengi hawana degree. Haya sasa, tufananishe with facts
CCM Republican na CDM ni Democratic 🙂
 
Tujadili vitu vinavyowezekana jamani,sasa mtu kama Makamba Nape au Mchemba utamuambia aige nini kutoka Merican aweze kuiga?

Maana nafasi zote unazozijua wewe walipata/wamepata kwa sababu ya ujanja ujanja yakija ya Marekani hao utakuta kila mmoja kwao huyu Usambaani mwengine kwenye mikorosho Mtwara mwingine kwenye alizeti huko Singida huwakuti kwenye vyeo wala ubunge walio nao.
 
Back
Top Bottom