Siasa zetu zinafanana zaidi na za UrusiUSA POLITICS VS TANZANIA: Tufananishe vyama na sera zao, Je CCM ni kama Replican ama Democratic? Na CHADEMA Je?
Fafanua mkuuSiasa zetu zinafanana zaidi na za Urusi
Aisee unafananisha Mlima Kilimanjaro na KichuguuUSA POLITICS VS TANZANIA: Tufananishe vyama na sera zao, Je CCM ni kama Replican ama Democratic? Na CHADEMA Je?
(Imperial presidency)Fafanua mkuu
Huu ni wa pili kwa leo mkuu ...Uzi wa ngapi huu unaanzisha ndugu Expert member??
Sasa maendeleo ya USA unayafananisha na Tanzania?Huu ni wa pili kwa leo mkuu ...
Hapana mkuu ila tunaweza jifunza kidogo kwa walioendelea... nadhani njia nzuri ya kujifunza ni kujifunza kwa aliye kuzidi... au unataka tujifunze Uganda kwa comrade Mseveni?Sasa maendeleo ya USA unayafananisha na Tanzania?
Hatuendani mdau.Hapana mkuu ila tunaweza jifunza kidogo kwa walioendelea... nadhani njia nzuri ya kujifunza ni kujifunza kwa aliye kuzidi... au unataka tujifunze Uganda kwa comrade Mseveni?
Mimi naamini wananchi wa Marekani licha ya kuwa na elimu lkn mbumbu. Itawezekanaje pesa zao zitumike kuaangamiza watoto wa Gaza huku wao wakiwa kimya?USA POLITICS VS TANZANIA POLITICS: Je kitu gani kinakuvutia kwenye siasa za USA ambacho unatamani wanasiasa wa kwetu wakiige?
Mimi ninachotamani ni jinsi ambavyo kura inaombwa kwa udi na uvumba, yaani inapatikana kwa shida sana ... Yaani unaona jinsi ambavyo wananchi wanajua thamani ya kura zao na wana siasa nao wanavyohangaika kuwashawishi wawape kura...
Je kwetu hali ikoje?
Kama timu za mpira, analinganisha timu ya Umishimuta na UEFA championSasa maendeleo ya USA unayafananisha na Tanzania?
Tanzanian politics has completely nothing good to explain apart from devilish acts we ever always experiencing.Kwa mtizamo wako, je unaona Mfanano wowote kati ya hivyo vyama? Kwa mfano - Kwa upande wa USA,Democratics wengi wanaishi mjini na wengi ni graduates wa vyuo.. Lakini pia demo wengi ni wahamiaji .na kwa upande mwingine Replicans ni wazungu, na wengi ni wa vijijini na wengi hawana degree... Haya sasa, tufananishe ... with facts
Havifanani kabisa.Kama timu za mpira, analinganisha timu ya Umishimuta na UEFA champion
Ila haujadadavua vizuri mkuu zaidi umetema nyongo lakini ahsante kwa comment yakoTanzania hakunaga uchaguzi na viongozi wa mihimili yotee ni makada wa CCM.tume ya uchaguzi ni makada wa CCM.yaani kwa ujumla watanzania ni binadamu wa ajabu kwenye uso wa hii Dunia.nadhani kuna wakati ata watawala wenyewe huwa wanakaa wanatushangaa.lakini pia ata wanajeshi wetu hawatendi haki kabisaa.yaani hii nchii ata ukiamua kuiuza hakuna watakahokufanya hawana uzalendo.
CCM Republican na CDM ni Democratic 🙂Kwa mtizamo wako, je unaona mfanano wowote kati ya hivyo vyama? Kwa mfano - kwa upande wa USA, Democratics wengi wanaishi mjini na wengi ni graduates wa vyuo.
Lakini pia demo wengi ni wahamiaji na kwa upande mwingine Replicans ni wazungu, na wengi ni wa vijijini na wengi hawana degree. Haya sasa, tufananishe with facts