List is endless 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mkuu kwahiyo mpaka sasa una reference ngapi 😂
Uchafu tena unatoka Wapi hapo mbona unanichanganya...! Sema akija kuona Shughuli yako?Kwahiyo ata mama yako mzazi akija kuona uchafu wako poa tu?
Wee Acha basi Tendo la Ndoa unaliitaje uchafu?Uho ni uchafu shughuli ni harusi
Ndugu sikuizi watu wengi wakiwa kwenye faragha wanapenda kujirecord na wanatoa ushirikiano mzuri tu, sasa sijajua sababu hasa ya kujirecord ni ipi?
Wengine mnasema et for feture use feture ipi inaweza kuja kutumia izo video zenu za faragha na zikivuja mnaaza kulia