Kitu gani kinawaganya wanandoa kuchelewa kupata watoto

Penelope

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2012
Posts
713
Reaction score
642
Siku izi kumekua na hali ya kupata shida ya kupata watoto/mtoto kwa wanandoa ambao wameingia kwenye ndoa bila ya kua na mtoto,,Hata kama wote wawili hawana matatizo bado utakuta ni shida...Kunani?
 
Siku izi kumekua na hali ya kupata shida ya kupata watoto/mtoto kwa wanandoa ambao wameingia kwenye ndoa bila ya kua na mtoto,,Hata kama wote wawili hawana matatizo bado utakuta ni shida...Kunani?

Umejuaje kama mmoja au wote wanakuwa hawana matatizo?
 
daah mtoa mada kanigusa mm nimejaribu mwezuliopita kumpamimba mkewangu nikajua tayari cha ajabu ananiambia ameonasiku zake jana! Nimechoka ile mbaya nifanyeje? Ila nampoto mmoja.
 
daah mtoa mada kanigusa mm nimejaribu mwezuliopita kumpamimba mkewangu nikajua tayari cha ajabu ananiambia ameonasiku zake jana! Nimechoka ile mbaya nifanyeje? Ila nampoto mmoja.
Kula vyakula vyenye afya vya asili. Achana na chips mayai na kuku wa siku 60 na bia zisizo na kipimo.
 
Chips mayai na mafuta ya transforma utamu wake ndio madhara kwetu
 
Mkuu umenena. Kupata watoto limekuwa ni tatizo la ndoa nyingi. Mi mwenyewe ndoa yangu ina mwaka na ushee sasa bado hakijaeleweka. Nimeenda hosp kufanya seminal analysis nimeambiwa nipo safi, mke wangu amepima ameambiwa ana upungufu wa homorne lakini wamesema siyo tatizo kubwa sana. Mpaka muda nashindwa sijui nifanyeje.
 
Afya yenyewe ya chipa mayai na mbaya zaidi ngono inafanywa kila siku!!! Siyo rahisi hata kidogo.
 
Lazima afya ya mke na mume iwe safi. Hesabu siku 13,14 na 15 tangu alipoanza kubleed, ukimuona na dalili zozote za tofaut kama kuumwa kichwa, homa, joto kuongezeka. Ujue ndio kipind cha ovulation kwahiyo ndani ya siku hizo ukisex inshallah mtoto atapatkana
 
Wakuu,
Kama wote 2 mpo sawa na hamjapata kitu kwa muda mrefu, Ni PM ila muwe tayari kusafiri lakini 100% guaranteed.
 
The secretary! Umenena haki.

Nawashauri kabla ya kuoa!
Aidha mpigane mimba qanza
Ama mzalishane kabsaaa.

Bazazi!

Bazazi umenena kweli kama watu wanafanya tendo la ndoa kabla ya ndoa hapo wanakuwa wamejidanganya wenyewe Mungu anakuwa kawaona bora wazae kabisa unakuta mtu katumia njia ya uzazi wa mpango unaoisha hata baada ya miaka kazaa saa nyingine bila kufahamu matokeo yake mtu anaanza kuhaha.
 
Last edited by a moderator:
hili nitatizo kwa watanzania wengi lakini naoa kubwa zaidi ni vyakula tutumiavyo kwa siku hizi
 
daah mtoa mada kanigusa mm nimejaribu mwezuliopita kumpamimba mkewangu nikajua tayari cha ajabu ananiambia ameonasiku zake jana! Nimechoka ile mbaya nifanyeje? Ila nampoto mmoja.

wewe kama mimi kaka, nina mtoto m1, wengine hawataki kuja
 
wewe kama mimi kaka, nina mtoto m1, wengine hawataki kuja

Hata hili pia lipo sana,,unapataa mtoto wa kwanza then ukitaka mwingine kumatafuta tena inakua kazi
 
Inshaalah ukila vyakula vya mizizi km mihogo mibichi kidogo na vitu km ndizi zakuiva napunguza kula vyakula vyenye mafuta sana viatu vya chips chemsha usikaange na samaki au kifupi seafood ni muhimu sana ndio maana watu wapwani walakula sana pweza sio pweza tu ila samaki km unajua tende kula mara kwa mara namaziwa fresh hizii zinasaidia sana kufanya sperm ziwe nzito nakuwa nauwezo wakukaa mda mrefu hala punguza kufanya kila siku jipe siku 5 kila ukifanya mchezo wenu mtamu pia fanya mazoezi ilikuupa mwili kufanya kazi vema mimi nashukuru mke wangu amepata mimba baada ya mwka na mie tano bila bila fanya kama starehe sio kazi ili kufanya miili yenu iwe shwari, na kama chenji sio shida sana badili sehemu za kufanya mapenzi ilikuinua hisia,
 
daah mtoa mada kanigusa mm nimejaribu mwezuliopita kumpamimba mkewangu nikajua tayari cha ajabu ananiambia ameonasiku zake jana! Nimechoka ile mbaya nifanyeje? Ila nampoto mmoja.

kaka tatizo ni kubwa. kama umekaa Muda mrefu kuna sababu na hyo sababu inajulikana baada ya maswali yatakayonisaidia kukusaidia nipo mwanza niPM nkupe namba tuongee Dr kim
 
ni PM number yako tuongee kaka
 
Turudi kwenye asili yetu ndio suluhisho,tule vyakula vya asili kwa mpangilio sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…