Kitu gani kizuri ulifanyiwa na mpenzi wako tangu uwe nae katika mahusiano?

Hey guys..Lets share our happy moments
tuambie kitu gani unafurahia sana au ulifurahia ulivofanyiwa na mpenzi wako?
Yani kama kakufanyia au atakufanyia au ulishafanyiwa ..lets share



#chitchat#Mood
Muneera!

Fake or really? Please, i need your answer.
 
Aliniambia mwenzio nakupenda nipo tayari kunywa sumu kwa ajiri yako

Nikamwambia thibitisha, alafu nikaenda kuoga.

Aisee eti kanywa kweli sumu😂😂
Alafu wakati anamalizia pumzi yake ya mwisho nikamwambia mbona mi nilikua natania tu.


UPDATE
Nahisi Kuna mtu amedukua ID yangu🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…