Kitu gani ni dhambi???

Mzee DC mie niimekosa cha kuandika maana yote yamekwisha andikwa nikaona nikusalimu tu nakupita
 
Mzee DC mie niimekosa cha kuandika maana yote yamekwisha andikwa nikaona nikusalimu tu nakupita

Ahsante dada,

Nilidhani na wewe umeogopa hilo neno (dhambi) maana wengi naona tunaliogopa kama ukoma wakati tunakaa nalo na kupigana nalo vikumbo karibia kila sekunde.

Labda wewe unisaidie kitu kimoja tu,

Hivi kuna haja ya kujipanga foleni kila baada ya miaka 5 kama wote tuna dhambi ya kuwa lege lege hata pale tunapotakiwa tu kufungua mdomo na kusema neno la matumaini (siyo kucheka cheka tu)???
 
Wengi wao kwenye hilo kundi nadhani wako ICU. Kama wameacha wajibu wao wa kuchunga kondoo wa Bwana na badala yake wanatundika madrip ya cocain na heroin, unadhani tuna watu hapo kweli??

Hiyo usitake kuiongelea maana unaweza pigwa ban huku
Achana nayo kabisa maana tuna viongozi ila duh wanaongoza kundi kulipeleka motoni kabisa
 
Hata kama hauna dini/imani, yapo mambo ambayo ukifanya dhamira yako inakusuta. Unaposutwa na dhamira yako, basi ujue kwamba unatenda dhambi.
 
Hata kama hauna dini/imani, yapo mambo ambayo ukifanya dhamira yako inakusuta. Unaposutwa na dhamira yako, basi ujue kwamba unatenda dhambi.

Sijajua kua unaniunga mkona ama wanikosoa... lakini kwa msisitizo.... hio statement yako nimegusia katika post ulo ni quote.... for emphasis...

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…