Kitu gani spesho kipo kwenye pijo 504?

3ZOV

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2020
Posts
6,259
Reaction score
7,015
Kuna wimbo wa Esir - leo ni leo kuna mstari alikuwa analisifia hili gari je lilikuwa na vitu gani spesho?

Cc [mention]RRONDO [/mention] na watalaam wengine wa magari pamoja na wadau wa mziki wa zamani kushuka 2010
 
Hii gari Ina balaa kwa technology ya kizamani ilikuwa imewekwa speed 260km/hr Kwenye dashboard na ilikuwa inasifika kwa mbio. Na Kuna watu walitumia kwenye mashindano ya magari.

Bado zipo sokoni hadi sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…