Kitu gani ulikipenda ukiwa Mtoto

Nilicheza kibabababa na kimamamama watoto wana chumba chao na baba na mama wana chumba chao[emoji85] [emoji85] [emoji125]
 
Mchezo wangu wa hatari ni kucheza kidali juu ya mti,tena kulikuwa na miti miwili mikubwa ukikimbizwa mti mmoja unahamia mwengine.

Siku mmoja alipodondoka chini na kuvunjika mguu ndipo mchezo tuliacha huo mchezo.
Mchezo wa Kidali ulikua na aina nyingi Mara kidali cha tobo,kidali cha kukaa,kidali cha kuchuchumaa,kidali cha kulala,kidali cha kupanda mtini,yaani kila siku aina mpya ya kidali yatajwa!
 
Mchezo wa Kidali ulikua na aina nyingi Mara kidali cha tobo,kidali cha kukaa,kidali cha kuchuchumaa,kidali cha kulala,kidali cha kupanda mtini,yaani kila siku aina mpya ya kidali yatajwa!
Ni kweli ule mchezo mnaweza mkabuni vyovyote,tulichezaga hadi cha kwenye magari makubwa. Yani unadandia kwenye machuma juu kwa juu hakuna kushuka chini.
 
Ule mchezo wa kifamilia familia siju ndo kibaba baba.. lakin chaa ajabu mpaka leo najishangaa sijui kwanini nilikua napenda kucheza kama Mlinzi eti halaf mwanangu mmoja ndo Baba mwenye nyumba.
najishangaaga sana ..ila jamii alikua anafanya na kweli sasa daah.Halaf mi mlinzi Pumbavu sana
 
Mimi nilikuwa napenda kuwapanga wtt wa kike wanapata doz wote hata kama ni kumi
 
Kidali poo
Afu kuna ile baba mdogo alipoondoka alisema tuchore......
 
Mchezo wa Kidali ulikua na aina nyingi Mara kidali cha tobo,kidali cha kukaa,kidali cha kuchuchumaa,kidali cha kulala,kidali cha kupanda mtini,yaani kila siku aina mpya ya kidali yatajwa!
Cha tobo kilikuwa msala, tena watu ndio wakiwa wengi, utazinga hadi upagawe
 
Hahahaha, ulikuwa na nyota ya kimasai nin..
 
Kidali poo
Afu kuna ile baba mdogo alipoondoka alisema tuchore......
Hiyo ya kuchora ilikuwa inatujenga tuwe sharp sana.

Kuna mmoja ilikuwa tobo bao, kula mbakishie baba.



Mimi tulikuwa twaishi jeshini, basi tulikuwa twapenda kujifanya ma stering kwenye movie, tuna vamia kambi ya jeshi, tunaenda kuwachokoza wajeda. Majamaaa waliikuwa wanatutoa nduki sisi tunakimbia huku tunaongea kingereza cha uongo kile cha kwenye movie,
Lez goo (lets go) maneno kibaao, bt wenyewe tunaelewana, ila ukidakwa umeisha
 
Sita sahau kamchezo ka Baba na Mama tulikua tunafanya kiukweli. Ndo tulikamatwa mazee ilikua ni shida hiyo hua haifutiki kwenye taswira yangu hata leo. Nakumbuka tulikua wavulana 2 wasichana 8 wana lala mstari mimi na anziakulia mwenzangu kushoto tuna anza kuchovya tuna pishana kumbe tumesha gundulika. Sisi bila kujua kinacho endelea. Wazazi wakaitana kila mmoja alikuja na mzigo wa bakora. Nilitamani hiyo siku aridhi itoboke nidumbukie. Siwezi kusahau maisha yangu yote. Ninavyoandika hapa naona kilakitu kilivyokua ile siku.
 
Nilipenda sana kuratibu na kusimamia ndondi.
mimi ndio nilikuwa refa wa ngumi,yaani muda wa kutoka shule wanafunzi wenzangu walikuwa wanakuja kuniuliza kama kuna pambano.Yaani walikuwa wakitibuana tu,wanakuja kwangu kutoa taarifa nami nawaingiza kwenye ratiba.Wakati mwingine nilikuwa naratibu mapambano mpaka matatu kwa siku.Sheria ilikuwa ukitoka damu basi pambano limeisha na wewe uliyetoka damu ndio umeshapigwa.Kimbembe ni siku siri ilipovuja kwa walimu baada ya mtoto mmoja kula kichapo mpaka jino likatoka na mzazi akaja kesho yake shule.Yaani nilipomuona tu kijana yuko na mzazi wake wanaenda ofisi ya mwalimu mkuu,nilikula kona na sikutokea shule wiki nzima.Nilikua nikitoka nyumbani naaga naenda shule kumbe naishi porini.Bahati mbaya kuna siku dogo mmoja aliniona nimebana miembeni,daaah akaenda kumtonya ticha.Asikuambie mtu,darasa zima lilitumwa kunikamata,kuna watu wana mbio sio mchezo.Nilichezea fimbo sana siku hiyo na ndio nikastaafu rasmi urefa na kuratibu ndondi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…