Kitu gani umeshindwa kabisa kuacha

Pombe unaacha tena rahisi sana.
 
Hapana aisee. JF ina umbea umbea fulani amazing. Ina mabishano yanayofikirisha. Ina upuuzi wa kipuuzi usiokwepeka..

Sasa utu uzima hauhitaji tena umbea. Hauhitaji tena upuuzi. Ndo ile unakuwa mtu mzimaa wanakuita mzee mpuuzi. Aaaghhh qumamae

[emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo mwishoni imethibitisha jinsi na wewe ulivyo na upuuzi usiohepukika
 
Dah, napenda kurahisisha mambo sana hata ya msingi. Hapa sijui natokaje.. Kununua nguo bila ratiba ilimradi nimeipenda na kwenye pochi au simu nina hela. Hii inapelekea wakati mwingine kupangua bajeti. Natokaje hapa 2024.
 
huyu mpenzi wangu wa sasa maana tumedumu kwa muda mrefu sana ila naona sasa hivi amebadilika sana nahisi wajanja wamemchukua maana kwenye mapenzi kuna kuzidiana au mapenzi kuisha automatic ila ni mazoea yananifanya kutomuacha ila nashukuru mpaka leo hii hatuna mawasiliano ni wiki sasa imeisha so naendelea kukaza ili niweze kuachana nae kwa aman maana nisije kufa kwa presha kwa ajil ya mazoea
 
Kusogeza vitu mbele.... sifanyi vitu kwa wakati ratiba zinaharibika najikuta nina mambo mengi muda mfupi.

Tuseme uvivu uliokithiri
 
Hiyo pombe lazima ushushe mzigo bila ridhaa yako ndo utamu wake.HAIFAI KABISA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…