Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuwazoee tu😬😬Kuongeaongea wema uliowahi kufanya ni kama ulichokifanya ilikuwa ni bahati tu sikuhiyo moyo wa a in a hiyo huna....ni sawa na kutoa msaada huku unajiselfie
😂😂😂afu ukaanza tenanilikaa miezi 3 bila kukwea mnazi
Kwa kweli😶Tuwazoee tu😬😬
Umeanza mapema sanaaaaaa............nilikaa miezi 3 bila kukwea mnazi
HakikaNi mtazamo wako, Kama ndivyo unavyohisi basi siyo mbaya