Shining Light
JF-Expert Member
- Jan 8, 2024
- 406
- 523
Nimegundua familia nyingi sana ya sisi wa Afrika, kuwa kuna kauli mama hawezi ziongelea, kumwambia mumewe hata kama sio sawa, n.k
Baba anapochukua maamuzi hata kama sio sawa mama huwa hana kauli yeyote, kwa mfano ndoa za utoto hili bado lipo sana katika jamii zetu kuendana na mila na desturi ila pia dini
Ungepata nafasi ya kubadilisha kitu kwenye familia yako ungebadilisha nini?