Kitu kama hiki unaweza ukachukulia rahisi ila wahusika wanajua maana yake na majibizano yao

Kitu kama hiki unaweza ukachukulia rahisi ila wahusika wanajua maana yake na majibizano yao

sinaham

Member
Joined
Mar 31, 2024
Posts
76
Reaction score
90
Picha inasomeka na inaelezea
Screenshot_20240404_113334_Lite.jpg


Diamond alikuwa ameshatoja kimaisha. Dogo alikuwa akiishi getting kwa namna walivyovaa tu.

Lkn baadae wakagombana kwamba afya ya kinaisha ilistahili ichukue nafasi yake. Ni sawa konde alivyosepa. Kuna inhuman ilifanyika, yalikuwa makosa ya mond na crew yake.

Monde alistahili heshima yake na kinde alistahili kuondoka kupambana na maisha meingine.

Tatizo lipo wapi?
 
Back
Top Bottom