Kitu kama hiki unaweza ukachukulia rahisi ila wahusika wanajua maana yake na majibizano yao

Kwanini mkuu unakunywa pombe muda wa kazi
 
sinaham na udaku.
 
Kama upo Arusha kuwa makini, mkuu wenu Huwa anakawaida ya kuwakamata walevi wanaokunywa kabla ya saa kumi!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nimecheka walevi wawe makini unaambiwa ukilewa usiandike message
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…