Jumakidogo
R I P
- Jul 16, 2009
- 1,851
- 420
Ulikishika na mkono? WAHI HOSPITALI
chukua ukwaju kama nusu kilo roweka kwenye maji kiasi, osha mikono iwe safi, pekecha ukwaju hadi ganda la mbegu lilainike, toa mbegu na hakikisha mchanganyiko huo ni mzito kama uji, ongeza asali kama unayo kama huna weka sukari, kunywa mchanganyiko huo asubuh kabla hujala kitu chochote uchafu wote ulioko tumboni hadi ulioganda kwenye utumbo utatoka. KUMBUKA KUKAA KARIBU NA CHOO. kila la kheriNahitaji huduma ya kwanza kabla sijaenda hosptali. Nipo kijijini
chukua ukwaju kama nusu kilo roweka kwenye maji kiasi, osha mikono iwe safi, pekecha ukwaju hadi ganda la mbegu lilainike, toa mbegu na hakikisha mchanganyiko huo ni mzito kama uji, ongeza asali kama unayo kama huna weka sukari, kunywa mchanganyiko huo asubuh kabla hujala kitu chochote uchafu wote ulioko tumboni hadi ulioganda kwenye utumbo utatoka. KUMBUKA KUKAA KARIBU NA CHOO. kila la kheri
Nahitaji huduma ya kwanza kabla sijaenda hosptali. Nipo kijijini
we vp huduma ya kwanza si ndio hiyo ushajipa ya kukirudisha ndani na maumivu kupunguza! wahi hospital haraka. na hili la mgomo wa ma dr nakupa pole mkuu
mgomo wa madaktari umenifundisha mengi sana. Ukiwa na tatizo ni pm nikujuze dawa.Rumburiya, hahaha! Naona unakaribia kuwa mrs mzizi mkavu, hongera sana! Niliona hii kitu kwa dr ndodi pia, natumaini itamsaidia