wale vibonde wenzenu kule wanatolewa wote. kundi la wabovuGOOO9OOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO9OOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOLLLLLLLLLLLLLLLLLLL
Makolo hawajawahi kutamba mbele ya waarabu [emoji23][emoji23]
kila siku utakuwa wewe tu wakukubaliMpira upo hivyo.
Accept defeat without losing heart.
sio kama nyieInauma but vumilieni 😂
Hata ukikataa itafaa ninikila siku utakuwa wewe tu wakukubali
Kwa ubinafsi wa wachezaji,simba hawana maajabu yoyote ni kikundi tu cha wapuuzi,halafu Ateba hana hadhi ya kucheza simba akabebe vyuma tu akae getinisijaua kama ni fitness ndio inakosekana kwa wachezaji yaani ule uchapu nani kafungua,imekaaje kaaje nipige au niendelee kusukuma kwenda mbele na sio umeona tu lango na kupiga matokeo yake inakuja ile kauli ya "vijana wamepamba hatuna cha kuwadai, bahati haikuwa yetu"
Hii kauli inanichukiza sana. ni nyie tu kila mwaka hamna bahati, hapana. kuna mipira kweli unaweza kusema imekuaje kuaje umekataa kuja golini ila sivyo mpigaji hakufanya mafikilio ya chapu kutafuta nafasi nzuri zaidi mwisho wake tunaishia kusema imekataa
Soma Pia: FT: Al Masry SC 2-0 Simba SC | Robo Fainali CAF CC | New Suez Stadium | 02.04.2025
All in all ateba kaifelisha timu kwa asilimia kubwa kiufupi hajui kufunga, kamara nae ni mmoja wapo unatemaje mpira katikati ya goli naunajua vizuri ni hatari sana mpinzani akikutana nao achana na huyu aliyefunga yeye ulimgonga tu kuna wale wapiga mashuti mfano ni ile ya kapombe sijui ilizuiliwa vipi pale.
by the way. MUNGU IBARIKI SIMBA MECHI IJAYO YA CAF... hii itakuwa ni too much tusipopita kwani hii ndio inaonekana wazi ni nafasi kabisa ya kuifungulia simba hili kufuli gumu la nusu fainali kwani tusipopita hapa sizani kama tutapata nafasi nyingine kama hii.
Daaah sawaa bhana, c unafurahi hapo mwenyewe. Inaumiza mno.
Inshalaaah kaka
Nadhani sio ubinafsi,ni GSM anaharibu ligi ya shirikisho mpk tumefungwa misrisijaua kama ni fitness ndio inakosekana kwa wachezaji yaani ule uchapu nani kafungua,imekaaje kaaje nipige au niendelee kusukuma kwenda mbele na sio umeona tu lango na kupiga matokeo yake inakuja ile kauli ya "vijana wamepamba hatuna cha kuwadai, bahati haikuwa yetu"