Kitu kinacho wapa stress Madada wa dizain hii....!!

holy holm

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2017
Posts
4,793
Reaction score
9,101
Hakuna kitu inapeaga madada stress kama kua na Tumbo kubwa kuliko tako....
 
Unataka ugomvi na bidadazi wa mujini..........................
 
Harafu viuno vyao vimeungana na migongo.
Wakivaa suruali makalio yanajikusanya kama vile nyama iko kwenye mfuko wa rambo.
Wakivaa sketi miguu madhubuti kama ya Mbuyi Twite.
 
Wanaume mnamaneno loh,hao wadada,si ndio mama zenu ,dada zenu na shangazi zenu,naona mnajitusi wenyewe tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…