Yaani unapigwa waraka mmoja takatifu halafu wao kimya. Kimbembe ni kujifanya unajaribu kuujibu. Mimi nilishangaa sana wale jamaa wanatoka Frontline kuupinga na kuanza kuingiza mambo ya emotions kwenye maswala nyeti ya kitaifa.
Uzuri ujumbe wao uliwalenga wahusika na ukawaingia haswa. Kutoka shimoni kuujibu kwa mihemko ilikuwa ni kujidhalilisha.