The Interpreter
Member
- Mar 14, 2019
- 87
- 61
mh, uzuri ni kwamba nao washajua kuwa kuna watu kama wewe......watajifanyisha hivyo kumbe wanakuchora tuDaah, Kweli watu tumetofautiana.
Binafsi huwa nasikia raha ninaposumbuliwa kidogo na bint, huwa inaleta uchu na shauku zaidi ya kumnasa.
Kwangu mm maana halisi ya Kuwa mwanaume ni Pamoja na kupata ugumu flani Kwenye kila unachokifanya.
Mwanamke anayejirahisisha kwangu Hapana kwakweli, kama umempata kirahisi hivyo arashindwa vipi kukataa akitongozwa tena na mwingine?
Wewe Mwanamke Nikikutongoza Ni Siku 3 Tu, Ukizingua Haya Sina Muda Na Wewe Tena Labda Yani Labda Unifuate Mwenyewe. Mimi Mambo Ya Kubembeleza Mapenzi, Wiki, Mwezi, Mwaka Huu Mchongo Nimejaribu Nimeshindwa!
Hivi Wale Wanaume Ving'ang'anizi Mnaofuatilia Dame Hata Miezi 2 Teh Teh Teh Mnajua Mnapoteza Sana Muda Nyie Mafala. Mnawezaje?
Weee jamaa comment yako nimecheka sanaWateja wa machangudoa utawajua tu
Wewe Mwanamke Nikikutongoza Ni Siku 3 Tu, Ukizingua Haya Sina Muda Na Wewe Tena Labda Yani Labda Unifuate Mwenyewe. Mimi Mambo Ya Kubembeleza Mapenzi, Wiki, Mwezi, Mwaka Huu Mchongo Nimejaribu Nimeshindwa!
Hivi Wale Wanaume Ving'ang'anizi Mnaofuatilia Dame Hata Miezi 2 Teh Teh Teh Mnajua Mnapoteza Sana Muda Nyie Mafala. Mnawezaje?
Sasa mpaka uione hiyo boksa si mtakuwa tayari mshaingia laboratory au utaghairimimi nisichoweza ni kutembeaa na mwanaume anayevaa boxer za mpiraa wanakuwaga na uvundo kwenye [emoji523][emoji523]balaaa
Mke ambae ninae nashukuru sijawahipo kumtongoza,sijawahi kutongoza tokea kuzaliwa kwangu.Wewe Mwanamke Nikikutongoza Ni Siku 3 Tu, Ukizingua Haya Sina Muda Na Wewe Tena Labda Yani Labda Unifuate Mwenyewe. Mimi Mambo Ya Kubembeleza Mapenzi, Wiki, Mwezi, Mwaka Huu Mchongo Nimejaribu Nimeshindwa!
Hivi Wale Wanaume Ving'ang'anizi Mnaofuatilia Dame Hata Miezi 2 Teh Teh Teh Mnajua Mnapoteza Sana Muda Nyie Mafala. Mnawezaje?
no kweli aumimi nisichoweza ni kutembeaa na mwanaume anayevaa boxer za mpiraa wanakuwaga na uvundo kwenye [emoji523][emoji523]balaaa