Kitu Perfume. . . .

Kitu Perfume. . . .

Calnde

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2008
Posts
1,373
Reaction score
278
Je unajua umuhimu wa perfume kwenye mahusiano? Mpenzi wako anapokuwa na perfume permanent inatengeneza harufu yake ya kipekee inayomtambulisha. Sasa ikiwa hivyo inaongeza intimacy!
1. Freedom to hug and caressing
2. Long time staying together without getting bored
3. Comfort when u r together
4. Increases sexual desire.

For a woman make sure there is a perfect match between your perfume and othes make ups. Sio kichwani mafuta ya nazi, usoni 'carolaiti' afu perfume mwake!

Haya sasa we wapenda perfume gani? Inaboreshaje mahusiano yako?
 
There is so much power in Perfume jamani, kuna moja nikiisikia barabarani naanza kumtafuta aliyepaka, japo nimtambue afu nione kama anafanana nayo.

Dah, pafyumu ina nguvu sana.
 
ha ha ha, haswaaa kama mnakunwa na YU mfanyeje?

Afu kuna mmoja anantega ofisini sijui.
Kaanza kupaka Simla wakati mie hunipandisha maruhani.

mi bebii yangu nikipuliza YU yangu tu...lazima tuchelewe job....just imagine....
 
ha ha ha, haswaaa kama mnakunwa na YU mfanyeje?

Afu kuna mmoja anantega ofisini sijui.
Kaanza kupaka Simla wakati mie hunipandisha maruhani.

mmmh....aisee hiyo ni nomaaaa......
 
Very true, perfume has that special thing if you know what I mean.

na inapendeza kidogo akipaka zile zenye hadhi ya kiume......dior homme,euphoria,fahrenheit....na nyinginezo....

 
umehama kwenye Yu mara hii?
Haya majina magumu sana.

na inapendeza kidogo akipaka zile zenye hadhi ya kiume......dior homme,euphoria,fahrenheit....na nyinginezo....

 
Back
Top Bottom