Ngoja nimuulize anatumia perfume gani.
Humu watu wana mapesa aisee, perfume tu laki mbili?? Dah.....bajeti yangu ya mwezi mzima lol!!
H, kuna perfume moja hv inaitwa mwana dada spears breateney inaitwa Breateny sp. Illusion.....weweeeee nikukununulia Hus, we mwenyewe utatangazo ndoa na Bakulutu {joke}!
INAONEKANA huyo mumeo hupaka sabuni au cream au lotion au mafuta, kwani perfum haipakwi. pole nenda kazione katika maduka ya vipodozi.Duh. . . Farkina, ikitokea nimebahatisha perfume anayopaka nikajitokeza akiwa hayupo itakuwaje hapo? Patasomeka sio?
Nakumbuka kuna rafiki yangu aliniletea perfume, aliacha na risiti humo humo(sijui makusudi). Kucheki bei laki 1. Dah, kipipi nilitamani niende kwenye lile duka niwarudishie ile perfume wanipe ile laki. Hahaha!
usiogope, humu hata wewe ukitaka kujifanya liiphone unaweza. Kwani nani anakujua!!
Wengi wachovu wenzetu tu.
Aliacha ili uone alivyojitoa kwako......ila dah, umaskini mzigo shoga'angu mie hiyo ni ndoto kabisa!! Hahah Husn wewe......nijidai matawi alafu siku ukija kunitembelea unakuta ndivyo sivyo....loh (ila we najua utanistahi)!!
hahahaha! Nitakustahi sitasema kwa watu ila kimoyo moyo mmmmh!
heheh.....acha hizo basi shostito, sasa ukigunia rohoni manake si ipo siku utalisema tu, kama sio kuhadithia basi kwa kunitolea mfano lol!! (hujamaliza tu kumuuliza shemeji perfume anayotumia??)
siku ukiniuzi nawahadithia watu. Lol.
Shemeji yako jana kagoma kurudi, leo pia sijamuona. Akirudi kabla sijafika naomba umuulize. (usije kumkonyeza lakini@
Kwa mwanaume haupaswi kukosa perfume moja kati ya hizi zifuatazo...
1. Aqua Di Gio - Giorgio Armani
2. Le Male - Jean Paul Gaultier
3. Dolce & Gabbana - D&G
4. Obsession For Men - Calvin Klein
5. 1 Million By Paco Rabanne
6. PI- Givenchy
7. 212 Carolina Herrera New York
8. Eternity - Calvin Klein
9. Polo By Ralph Lauren
10. Polo Black - Ralph Lauren
Dah!Kumbe tayari...nimeshachelewa!Ni kweli.mume wangu huwa anapaka perfume flan nkiiskia tu basi namtani sana akiwa hayupo huwa napakaa mimi basi napata hisia kama yupo na mimi.
There is so much power in Perfume jamani, kuna moja nikiisikia barabarani naanza kumtafuta aliyepaka, japo nimtambue afu nione kama anafanana nayo.
Dah, pafyumu ina nguvu sana.
Humu watu wana mapesa aisee, perfume tu laki mbili?? Dah.....bajeti yangu ya mwezi mzima lol!!
Ni kweli.mume wangu huwa anapaka perfume flan nkiiskia tu basi namtani sana akiwa hayupo huwa napakaa mimi basi napata hisia kama yupo na mimi.
Kwa mwanaume haupaswi kukosa perfume moja kati ya hizi zifuatazo...
1. Aqua Di Gio - Giorgio Armani
2. Le Male - Jean Paul Gaultier
3. Dolce & Gabbana - D&G
4. Obsession For Men - Calvin Klein
5. 1 Million By Paco Rabanne
6. PI- Givenchy
7. 212 Carolina Herrera New York
8. Eternity - Calvin Klein
9. Polo By Ralph Lauren
10. Polo Black - Ralph Lauren