Kitu usichokijua

Red Scorpion

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2012
Posts
5,736
Reaction score
4,252
Unapiga picha ktk majengo mazur,magar mazuri,,umevaaa vizur ,,maeneo ya kujidai,,,,kwa kufanya hivyo unawachanganya malaika wanaogawa riziki maan wanajua umeshafanikiwa kimaisha kumbe bado[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mikaeli- Gabrieli huyu jamaa kacheza tatu mzuka kala lakini tayari ana maisha mazuri cha kufanya tumpe yule kule.

Gabrieli- Upo sahihi Mikaeli, jana nilikua insta nikaona kapost picha na hashtag ya my new ride
 
Mikaeli ni mzee wa vita wewe, ukiona anatajwa huyo ujue kuna mashambulizi au Defence inakujaa...

labda kidooogo Gabrieli, [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…