Habari wana jf, tujikumbushe kidogo ni kitu gani kilikuumiza sana ulipokuwa mdogo na hadi ulipokuwa unakua uliendelea kukikumbuka na kikawa kinakuumiza, mfano mimi nikiwa na miaka 6 kuna jaamaa aliwahi kunifuma nafanya matusi afu akakimbia nyumbani kwenda kunisema kwa mama sikuhiyo nilipigwa sana na baada yahapo watotowote mtaani wakawa wanaonywa na wazazi wao lkn mimi ndo natolewa mfano , unataka uwe kama flan natajwa jina nikaanza shule ninao, lapili , latatu, lanne tukahama mkoa ndo ponapona yangu. Wewe nikipi kilikuumiza