Kitugani kilikuumiza sana ulipokuwa mtoto na kiliendelea kukuumiza hadi unakua,

tiku

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2015
Posts
441
Reaction score
259
Habari wana jf, tujikumbushe kidogo ni kitu gani kilikuumiza sana ulipokuwa mdogo na hadi ulipokuwa unakua uliendelea kukikumbuka na kikawa kinakuumiza, mfano mimi nikiwa na miaka 6 kuna jaamaa aliwahi kunifuma nafanya matusi afu akakimbia nyumbani kwenda kunisema kwa mama sikuhiyo nilipigwa sana na baada yahapo watotowote mtaani wakawa wanaonywa na wazazi wao lkn mimi ndo natolewa mfano , unataka uwe kama flan natajwa jina nikaanza shule ninao, lapili , latatu, lanne tukahama mkoa ndo ponapona yangu. Wewe nikipi kilikuumiza
 
Unafanya matusi[emoji23] [emoji23] [emoji23] =unajipigia nyama sio....
 
mapenzi ndo yaliyoniumiza tangu nipo chekechea hadi sasa bado yananiumiza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…