Kituko cha JB,bongo movie na wasambazaji..

ZE NDINDINDI

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2016
Posts
1,885
Reaction score
4,012
hawa jamaa wameamua kuanza kuonyesha movie(maigizo) yao kwenye tv then ndo dvd mtaani.kwenye comments JB anadanganya eti watu wa Tv(SIBUKA)wamesharudisha gharama za movie kwa kuwalipa..kwendraaa wale sibuka wasiolipa mshahara wafanyakazi wwape milioni 30 kurusha mara mbili,ni sponsor gani huyo katoa hiyo,kadanganyaneni huko na kina le mutuz

Jacob Stephen
September 23 at 10:33am · Instagram ·
Filamu hii itaonyeshwa leo kwa mara ya kwanza...sibuka Tv..channel 111 kupitia startimes..saa3 kamili usiku...kisha itakuwa madukani jumatatu..26..09..2016..


Like
Like
Love
Haha
Wow
Sad
Angry

Comment
Share


63Moses Tibenda, Moses Anthony Mwanyilu and 61 others
Comments

Moses Anthony Mwanyilu
Big up kiungo mshambuliaji
Like · Reply · September 23 at 10:45am

David Sylvester
Hongera sana brother
Like · Reply · September 23 at 10:47am

Philipo Emilian
Sio kwanza ingeenda madukani kwanza ikauza kwa muda wa miezi kadhaa kisha ikaonyeshwa kwenye Tv au kwenye Tv wametoa pesa nyingi boss?
Like · Reply · 1 · September 23 at 10:50am

Karim Maulid
Sasa wakishaiona watainunuaje mkuu,soko la bongo movie limekufa c kutokana na kifo cha kanumba bali ni kutoka anologia kwenda digital hv vingamuz vna tamthilia nying za kumuweka mtu bize mpaka ana mda wa kununua bongo movie maana ata zingne bongo movie...See More
Like
· Reply · 1 · September 23 at 11:02am

Nusrat Semtawa
SASA WAKISHAIONA NANI ATANUNUA KAKA. ..BORA WANGEONYESHA TRAILER TU
Like · Reply · September 23 at 11:15am

Jacob Stephen
Karim Maulid ni vema uulize kwanza...mambo ni kidigital kama unavyosema..unadhani wanaweza kuonyesha bila makubaliano na mpunga mwingi kuingizwa...tayari wameshalipa karibu hela yote ya mauzo ya dvd..na itaonyweshwa leo..kesho na kesho kutwa.uuzaji wa svd ni nyongeza
Like · Reply · 2 · September 23 at 11:17am

Nusrat Semtawa
hapa sawa kakaake. ..umetishaaaaaaaa
Like · Reply · September 23 at 11:18am

Write a reply...
https://www.facebook.com/jacob.stephen.37?fref=ts#

Jacob Stephen
kila movie zinazo sambazwa na steps zitaanza kuonyeshwa hapo..ni soko jipya kabla ya uuzaji wa dvd..
Like · Reply · 1 · September 23 at 11:19am

Karim Maulid
Pesa mnaolipwa na hao inaenda sawa kama mngeuza cd kwanza, kama huo ni mfumo mpya wa step je hawa wachanga ambao majina yao ni madogo watanufaika kweli na huo mfumo. Me ni mpenzi tu wa filamu za kibongo usinifikilie vbaya napenda wasanii wa bongo movie nao atleast waish kama wa muzik
Like · Reply · September 23 at 11:32am

JayfOur Chilimba
Kwako broh poa coz mpunga umeshaingia kwako lkn kuna wale wauzaj wa jumla na rejareja huon mzigo utazingua sokon
Like · Reply · 1 · September 23 at 11:33am

Karim Maulid
Na wanaomiliki libary nao mzigo c unawadodea je mkuu mmewatazamaje hawa watanzania wezenu
Like · Reply · September 23 at 11:35am

Jacob Stephen
dvd sasa ni soko la pili..
Like · Reply · 1 · September 23 at 12:06pm

Jacob Stephen
lakini sinema ikiwa nzuri hata kama wataiona kwenye TV watauza DVD
Like · Reply · 1 · September 23 at 12:08pm

Karim Maulid
Atleast siku moja ila siku tatu czan ata kama itakuwa nzur soko la dvd halitakuwa nzur.cjui me cjaelewa vzr maana naona kama pande moja inafaidika sana
Like · Reply · September 23 at 12:13pm

Jacob Stephen
Karim Maulid soko la dvd dunia nzima ni la pili au la tatu..sisi tu ndio tulikuwa tumechelewa
Like · Reply · 1 · September 23 at 12:55pm
 
Labda wanae pesa nyiingi ila kulipa wafanyakazi wasiwe na pesa nazo
 
Jamani huyu JB si alisema ameacha kuigiza???? Au me sikumwelewa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…