Kituko cha utotoni ambacho sitakisahau

Nilikuwa nakusanya pesa alafu naenda kukodi VHS za pornograph then navizia watu walale usiku naenda sitting room kuzitazama, sasa siku hiyo umeme ulikatika usiku nakashindwa ku eject mkanda, nikadamka saa 11 asubuhi nikakuta bado umeme haujarudi, na saa 12 naenda shule, nilikuwa na libegi likubwa nikapunguza madaftari nikaondoka na deki, nilifanikiwa kuitoa mitaa ya shuleni , home walijua wameibiwa, jioni nilivyorudi nayo nikawapa uongo but nilikula kichapo kizito, muda mwingi mama alikuwa ananihoji kwa nini niliondoka na deki mshua alijua nilitaka kuuza sema nilikosa wateja, nilipoteza uaminifu bt wengeujua ukweli ndio ingekuwa shali kamili
, nilikuja kuwasimulia ukubwani... Utoto una mengi aisee
 
Hahahaaaaaa!! Khaah dogo katisha, ila nasubiri kituko chako[emoji12] maana mie chautundu najaza ndoo.
 
Duuuh ex shemeji hivi kumbe haya mambo umeyaanza kitambo[emoji134]
 
duh mie navisanga vingi ambavyo sitakaa nivisahau hehee
stakaa nisahau siku nilipopigwa na kima vibao baada ya kupanda kwenye mti wao wa mapera
sitakaa nisahau siku niliyoanguka kwenye mti wa mzambarau hadi nikatenguka mkono na miguu
sitakaa nisahau siku nilipokunywa mafuta ya taa nikijua majii..
sitakaa nisahau nilipomchomoa kaka angu na ugali jichoni lisa alinidokolea nyama......pyee nina visanga vingi sanaaaaa
 
Hahahaaaaaa!! Khaah dogo katisha, ila nasubiri kituko chako[emoji12] maana mie chautundu najaza ndoo.
Hahaha rudi page za nyuma kidogo utaona kituko changu (page ya 8)
Yaaa watoto sometimes wanaaibisha sana Heaven Sent , i can imagine mzee alivyojisikia japokuwa ilikuwa utani
Hahaha nahisi kimoyomoyo mzee alimmind dogo.

Siku moja tena kapo kindergarten bado. Karudi shule kafika tu "mama mimi kesho ntaachwa na school bus, sijalipa ada". Mama akamwambia mbona ada tulishalipa, hudaiwi. Yeye kakazania tu, ataachwa na gari, yani kakomaa huyo mmh

Basi jioni yake nilikuwa nimetumwa dukani, nikarudi na chenchi nikaziweka mezani kwa mama chumbani kwake. Kesho yake mchana maza ananiambia heaven nipe zile hela ulizorudi nazo dukani, nikamwambia niliweka mezani kwako mbona. Kaanza kuniambia wewe usinitanie. roho tu ikaniambia ukute dogo kaichukua kaenda kulipa shule as alikuwa anaogopa kuachwa na gari. Hela yenyewe sijui elfu 8, sasa sijui ni ada ya shule ipi mwee

Basi ile Karudi tu nikampokea na kimtego " vipi umempa ada sista, kasemaje". Mwenyewe kwa bashasha zote kajibu "eeh nimempa, kasema Ahsante sana", cheko lilinibana nikamfikishia ujumbe mama ake, kumbe hela yenyewe kuna mtoto mkubwa alimpokonya huko shule. Siku hiyo bi mkubwa kamsamehe. Kesho yake Karudi shule kuonja onja kaingia store kakuta mafuta ya battery akataka kunywa, jamani alipigwa mabanzi na mama hadi aliiva na hivi ni keupeee sasa hahahhaa. Ila tunamshukuru kameshakua kenyewe tumepumzika na stress mmh
 
Hii ilinitokea Mimi form four ninajisahau Kama niliiweka dvd na hata tv sikuzima umeme ulirudi Mida ya saa 2 usiku afu ndio tumekaa mezani tunakula...nilikana kabisa sihusiki na sijagusa tv
 
Hahaaaaa akyanani, utoto raha sana kwa kweli, unajifanyia mambo kadri akili inavokutuma
 
Mungu wangu nimecheka hadi machozii. Kama hujabadilika utakuwa na rohoo mbayaa mbayaaa mchoyo mchoyoo hahaaaaaa hizo hasira zako komeshaaa
 
Duh ... hii ilikuwa balaa
 
dah, naujua huu, na hii kitu ilikua inatokea sana kule uchagani, kwa kilugha hivi huu mmea ulikua unaitwaje tena?

nimeusahau jina kaka...ngoja niulize nitakupa mrejesho!
 
Ha haa hii tunafanana... Nilikua wa 63 nikafuta 3 nikabakiza 6 na nilijua sio rahisi kustukiwa mana ile ya kwanza hawakustuka. Hii ya pili maza alikua makini nilisemwa na kupewa fimbo za haja siku hiyo. Na nikafikishwa kwa mwl mkuu nikala fimbo na tokea hapo matokeo akawa anaenda kuchukua mzazi.
 
Ha ha haaaa
 

Hahahaaaaaaaa,mkuu kweli tumematch,poa kiongozi
 
Nilichukua miba ya mtende huwa ni mikubwa hivi nikaichimbia nikiacha ncha kali kwa juu katika kinjia wanapita watu halafu nikajificha,akapita kaka mmoja akakanyaga nikacheka akaniona nilikimbizwa mpaka leo sikurudia japo hakunipata.
Aise hii tuliifanya utotoni ila tulimbahatisha mwendesha baiskeli alupoukanyaga tu mwiba upepo wote ukaisha tukacheka sana, alitutandika akatupeleka pia kwa baba naye alituchapa hasa utoto bwana
 
Daaaah kwa mjerumani(as we used to call our mom) hilo hatukuthubutu kufanya, maana unaweza ukasahau hata jina lako.
 
Kijana kumbe we ni bro wangu kwenye hizo vitu..Nakumbuka mi first time kuangalia nilikuwa form one..Basi baada ya kutoka kuangalia kila msichana ninayekutana naye namuona kama yupo uchi vile
Duuuuuuh!!
 
Teh teh teeeeh! Ukataka kumbikiri sister! Ila sijui kuna nguvu gani kwenye maneno mabaya, watoto huwa rahisi sana kuyadaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…