Kituko gani kilikuacha hoi kwa kicheko mnamo 6*6?

congo dust ilihusika hapo
 
Ilikuwa balaa pale binti alivyopandisha majini katikati ya mchezo, yakaanza kuongea na kunikaba, ilikuwa balaa. Sitaki kukumbuka
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mwenzio kasema aliokolewa na walinzi. Wewe uliokolewa na nani?
 
Mie kuna mdada..alikuwa akitaka kukojoa anakema mithilili ya kutaka kutoa haja kubwa af baadae anamalizia na asante iliyounganishwa na kupumua
 
Mie kuna mdada..alikuwa akitaka kukojoa anakema mithilili ya kutaka kutoa haja kubwa af baadae anamalizia na asante iliyounganishwa na kupumua
Duuh
 
Mkuu ulivunja, sio kila style inafaa. Kuna KE unaweza kumuona kipotable ila jaribu kumbeba huku unapiga shoo ndio utaona yaliyokukuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…