wewe au yeye?🤣Kulia kama ngiri👀
Itakuwa uli ifinyia sana kwa ndani 😄Kulia kama ngiri👀
🤣🤣🤣🤣🤣Mbavu zangu wallahiKulia kama ngiri👀
Duh..Nakumbuka wakati nazagamua katikati ya mzagamuo mara dada kakata moto, yaani ile hahemi wala hatingishiki!
Nipo kuelekea YouTube nipatane na mlio wa ngiri😂😂Kulia kama ngiri👀
Hahahaha unanikumbusha kuna jamaa moja nae ilishawahi mtokea tuko chuo fulani huko kaskazi katoa kademu huko mtaana kazamisha hostel si kakazima ikabidi akatoe kwenye korido aanze kukapepeaHabari za weekend wana JF?
Leo tufunguke kituko kilichowahi kukutokea wakati ukifanya mapenzi.
Nianze na changu.
Nakumbuka wakati nazagamua katikati ya mzagamuo mara dada kakata moto, yaani ile hahemi wala hatingishiki!
Kizaazaa. Acha nipagawe!
Kupiga yowe nataka, kukimbia nataka. Acha nianze kupepea na mashuka huku nikiomba.
Mwendo wa dakika kadhaa ndio naona anaanza kurespond.
Aki siwezi sahau siku ile.
Enhe hebu tupe kisa chako. Kituko gani uliwahi kumbana nacho wakati wa mzagamuo?
Ukute ilichomoka ikiwa kwenye mwendo wa 250km/h sekunde chache kabla Vasco Dagama kufika rasi ya tumaini jemaItakuwa uli ifinyia sana kwa ndani 😄