Dr wa ukweli
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 900
- 271
last wk nlihudhuria send off moja maeneo ya Tabata jijini dsm, wakati bibi harusi anatambulisha ndugu zake mwisho akamtambulisha X-boyfriend wake nanukuu '" napenda kumtambulisha mwanaume wangu wa kwanza kabisa" mwisho wa kunukuu, mwanaume akasimama watu wakaguna ukumbini, ila nilipofuatilia ni kakuta huyo X-BF amazaa nae mtoto mmoja.
Je ni sawa kumtambulisha harusini/send off mpenzi wako wa zamani hata kama umezaa nae??
Huyo jamaa aliyekuwa anaoa hakutoa talaka hapo hapo?
hapo mwita maranya haitakiwi kutoa taraka, unachotakiwa ni kushukuru kwanza kufahamu kuwa kumbe huyo mkeo alikuwa tayari ameshabanduliwa na wajamaaaa..!! jambo la pili la kufanya ni wewe bwana harusi unachukua microfoni na kumtangazia huyo x-bf (a.k.a mme mwenza) kuwa sasa ache kumfuatafuata huyo mkeo na kama atamfuatafuata basi hutasita kukata kilo moja ya nyama kutoka upande wa kushoto wa ta!@#$%^&*....ko lake.
last wk nlihudhuria send off moja maeneo ya Tabata jijini dsm, wakati bibi harusi anatambulisha ndugu zake mwisho akamtambulisha X-boyfriend wake nanukuu '" napenda kumtambulisha mwanaume wangu wa kwanza kabisa" mwisho wa kunukuu, mwanaume akasimama watu wakaguna ukumbini, ila nilipofuatilia ni kakuta huyo X-BF amazaa nae mtoto mmoja.
Je ni sawa kumtambulisha harusini/send off mpenzi wako wa zamani hata kama umezaa nae??
Kaweka wazi nini sasa , nina hakika kila atakapokuwa anaangalia mkanda atakuwa anaguna moyoni mpaka basi, amefanya kosa sana, imagine mume wake angemwalika x wake, angeweza kuvumilia huo utambulisho, usimfanyie mwenzako kitu ambacho huwezi kuki handle ukifanyiwa, na nawahakikishia huyo mume amekaa kimya ila atakuja lipiza tu, duh mijanamke mingine bwana huyu atakuwa kati ya yale makabila yanayoogopwa kwa ukali na ukatili tusi afadhali kamuweka wazi, japokuwa hapakuwa mahali sahihi pa kumtambulishia! kuna mijitu inaoa/olewa na ex wake hata hajamtambulisha kwa mwezi wake coz bado wanaendelea kwa chati! akitoka honeymoon tu anaenda kuendelezea walipoishia! huyo kamtambulisha kwa maana ya kuwa biashara ilishaisha! wangapi hapa wanawatambulisha ex wao hata kwa gf/bf? huyo dada washamalizana na ex wake, tatizo ilikuwa hakuna haja ya kutambulishana hadharani!
Namtabulisha kaka yangu naomba usimame uwasalimieYaani harusi nyingi kuna vitu very unnecessary kwa kweli
sijui hotuba ya shangazi..
Mara nasaha za babu....ili mradi tu....
hapa issue ni kutoa talaka pale pale,...tena kama ni wa dini ya kiislam unapiga tatu kabisa,...kwetu sisi wakristo ni fujo bin fluuuuuuuuuuuu
Kaweka wazi nini sasa , nina hakika kila atakapokuwa anaangalia mkanda atakuwa anaguna moyoni mpaka basi, amefanya kosa sana, imagine mume wake angemwalika x wake, angeweza kuvumilia huo utambulisho, usimfanyie mwenzako kitu ambacho huwezi kuki handle ukifanyiwa, na nawahakikishia huyo mume amekaa kimya ila atakuja lipiza tu, duh mijanamke mingine bwana huyu atakuwa kati ya yale makabila yanayoogopwa kwa ukali na ukatili tu
Namtabulisha kaka yangu naomba usimame uwasalimie
Namtambulisha mtoto wa mjomba naomba usimame uwasalimie
Namtambulisha mdogo wake mama yangu naomba usimame uwasalimie
Namtambulisha mtoto wa shangazi naomba usimame uwasalimie
Namtambulisha dada yangu aliyenilea naomba usimame uwasalimie
Namtambulisha bibi naomba uwasalimie
Harusi zetu za kibongo hiziii