Kituko harusini

Hahahaha hii ya kweli ya kichama kama sio ya kitaaluma

Halafu hapo inawezekana ndugu ndo wamepanga hivyo
labda wanamkubali zaidi huyo jamaa kuliko bwaba harusi
ndugu wengine bana

sasa afadhali hiyo kama
hao watu ni ndugu kweli
harusi zingine wanatajwa watu kisa tu ni
kabila la bwanaharusi na hao watu ni vizito town
yaani watu wanajikweza kwa kupitia watu wengine
its funny

Hiyo ni ndoa ya wanaume wawili kudadadeki.

Mie ndio maana harusi nazoandaa zinakuwa kama tamasha, hakuna cha utambulisho wala nini, kwanza unatambulisha ili iweje? tambua baba na mama wanatosha, nasaha pia zinaboa tu

Slanted r u a wedding planner? Ni pm tafadhali

Bwana Harusi amefanya ustarabu sana kuka kimnya mbele za watu huyo mwanamke kama hajafunzwa kwao ulimwengu utamfunza,
Asubiri yeye kuletewa nyumbani X wa mumewe na chakula alichopika yeye mwenzie akala halafu aone kama alomfanyia mwenzie matamu.

Ha ha hahah,duh na wewe una vituko loh!

Ni kweli wabongo kwenye maharusi ni mbwembwe tupu....

mimi ndio maana huwa nahamisha meza watu

kula nile mie, dibaji apewe yeye....

Mambaff

huyo mdada alishazaa nae zamani nadhani ndio maana bwana harusi hakumind sana

Hata kama alishazaa naye sio fair bana kwa huyu mume mtarajiwa....ingekuwa ni mimi mbona ningenyanyuka na kuondoka isiwe tabu aendelee na huyo huyo aliyemzalisha nyambaff.....kwani mara ngapi xboyfriends wanaenda kwenye parties za wenza wao wa zamani lakini kwani wanatambulishwa??

halafu weye..............

yale mahindi yameota mbelewele aisee, nauza yote kwa bakhresa

mkuu punguza hasira!

huo ni upuuzi,kuna watu thinking capacity yao wamebakisha ya kuvukia barabara tu...utafanyaje kitu kama hicho on your big day?

Na lazima watakuwa wanaendelea hao maana naona wameachana "kwa wema". Labda waliachana sababu ya tofauti za dini lakini penzi bado lipo. Nampa pole bwana harusi.
kwa ufupi katambulishwa mme mwenzake!

anaemua huyo binti ajue kapendwa kwa sababu na siku si nyingi ha ma x watarudiana.:disapointed:

Baada ya hapo huyo mwanamke alitakiwa akahifadhiwe milembe.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…