Kituko harusini

.........hii kwangu ni kali ya mwaka:heh:
 
Unautani na wahaya?
 
Namwacha hapo hapo bora lawama kuliko fedheha
 
Slanted r u a wedding planner? Ni pm tafadhali
Sio wedding planner,ila ndugu rafiki wakiwa wana harusi, wengi huwa wananifata niwaplanie, huwa sikosei
 
au atambulishe kabisa small house isiyokuwa rasmi. hivi kama mtu bado hajaoa, na ana mchumba rasmi na asiye rasmi, huyu asiye rasmi anaweza itwa small house? manake sio house yet ni kibanda umiza...lol

jamaa mzembe naye angemtambulisha ex-gf wake ili watoke ngoma draw..
 

Huyo mume/bwana harusi amezidi upole hadi huyo mdada is taking him for granted! Dada huyo hana adabu kabisa, ningekuwa mimi yaani ningempa talaka hapo hapo jukwaani
 
Huyo ni mke wa mnayemuita ex-bf soma Mat19:3-9. Ndoa ilikuwa siku ile alipoingiliwa kwa mara ya kwanza(Lawi21:13-14) maana pale palikuwa na agano la damu!(damu inanena) bado ikaimarishwa tena kwa damu ya wakati wa kuzaliwa mtoto wa kwanza! Hizo damu ndizo(Law17:11) zinazomueleleza amtambulishe huyo mwenye mke hata kama jamii(pamoja na wazazi, makasisi) wanamtambua huyo aliyejitokeza rasmi(kutoa mahali) poor boy, ni bora angeenda kuanza mahala pengine tu maana Mungu hutimiza neno lake(1cor7:2-4,7:39,Mwa4:25,2:23-24) sasa ameikosa damu ya kwanza labda pengine kwenye 'kuendesha baiskeli', damu ya mtoto wa kwanza je,
_
 
what if mme alimtaka bibie ayafanye hayo.....
 
Mmm! Jamani sijui mimi ningefanyaje,?
 
mshikaji angeuchuna tu(japo roho inauma) afu nae angengoja harusini afu anawatambulisha kama kumi hivi walio vaa rangi za sherehe,mmoja mmoja, kwamba 'huyu ndo wa kwanza kabisa baada ya kutoka chuo,af nilivoachana nae nikawa na hawa wafuatao.................'.@#$%^&%$#@>>>.......zake huyo bi arusi!!
 
Angalia kwenye nyekundu:
Hayo mambo ya kutambulishana arusini...mhhhhmmm...sikemei wala sisifii, lakini sioni ubaya wowote kwa mwanamke (katika kisa hiki au awaye yeyote pahali pengine) kumjulisha mwenzake uhusiano aliokuwa nao kabla. Hii ni kuepuka kuja kuyajua hayo mbele ya safari kupitia midomo mengine.

Hivi jamani kuna ubaya gani kuoa/kuolewa na mtu aliyewahi kuzaa? Kila siku tunaona watu wanaoana wakiwa wamezaa kwengine, muhimu wawe wanapendana na kukubaliana. Na sifikirii kama msichana atakuwa mjinga wa kumdanganya (her husband to be) kuwa yeye ni bikira hali ameshayazowea, na mjinga zaidi badae kuja kumjulisha mwanamume wake wa kwanza kabisa (inawezekana walikuwepo wengine kabla).

Tatizo letu wanaume (kutokana na baadhi ya michango), linapokuja suala la kuoa, mara nyingi tunataka tuwe "wa kwanza", wakati sisi wenyewe wengi wetu ni viwembe. Sasa ikiwa tumechagua mtindo huu wa maisha, kuna ubaya gani iwapo "your wife to be" alishawahi kubanjuliwa wakati nawe ulishabanjua na kukamua vya kutosha? Anayelikataa hili litadhihirisha tu yeye ni mwanamume wa aina gani.
 
<br />
mkuu umeongea maneno mazito sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…