Li ngunda ngali
JF-Expert Member
- Jun 22, 2023
- 707
- 2,572
Hivi Chadema wamerogwa?! Mbowe hasa karogwajwe?!
Kinachoendelea Chadema ni zaidi ya Isidingo, the need!
Naanza kupatwa na wasiwasi, hawa Chadema ama watauana ama watatwezana pakubwa!
Mbowe jitu zima limeamua kukiua Chama kwa mikono yake lenyewe kwa ulafi wa pesa.
Hadi keshokutwa nawaapia tutajua siri zote za Mbowe alivyokuwa anagawa Ubunge kwa wale wanawake.
Mwisho wa siku hakutakuwa na Chadema tena-PUMBAVU!