Kituko: Hivi Chadema wamerogwa?

Li ngunda ngali

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2023
Posts
707
Reaction score
2,572
Hivi Chadema wamerogwa?! Mbowe hasa karogwajwe?!

Kinachoendelea Chadema ni zaidi ya Isidingo, the need!

Naanza kupatwa na wasiwasi, hawa Chadema ama watauana ama watatwezana pakubwa!

Mbowe jitu zima limeamua kukiua Chama kwa mikono yake lenyewe kwa ulafi wa pesa.

Hadi keshokutwa nawaapia tutajua siri zote za Mbowe alivyokuwa anagawa Ubunge kwa wale wanawake.

Mwisho wa siku hakutakuwa na Chadema tena-PUMBAVU!
 
Hivi Chadema wamerogwa?! Mbowe hasa karogwajwe?!

Kinachoendelea Chadema ni zaidi ya Isidingo, the need!

Naanza kupatwa na wasiwasi, hawa Chadema ama wataua ama watatwezana pakubwa!

Mwisho wa siku hakutakuwa na Chadema tena-PUMBAVU!
mapigano ya Ghaza yatahamia mlimani City Jan 21.2025πŸ’
 
Unamtukana nani bwana mdogo...

Tulia watu wafanye siasa
 
wamemchagua mgombea urais bila kura huko Dom πŸ’©
 
Reactions: G4N
uMbowe ni tabia ya mtu kung'ang'ania madaraka mpk afe ama afikishe miaka 68
 
Kunywa CN basi
 
Mbowe amekuwa Zee la hovyo kwa utoto anaofanya na machawa wake lazima kuna vitu vingi wanazuia visijulikane. Zee la hovyo hovyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…