Kitulo Njombe: Usaili ajira za mda za sensa wagubikwa na vitendo vya rushwa na upendeleo

Nakadori

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
8,778
Reaction score
21,010
ALERT 🚨 🚨 🚨

Huko katika kata ya kitulo mkoani njombe aliyekuwa mwenyekiti wa usahili Agizo chapel tweve ambaye ni mwl.mkuu kampitisha mke wake Vailet sanga nawakinga wenzao naanajisifia hawez waacha wazawa..

amempitisha mtu aliyeomba usimamizi wamaudhui kuwa karani Okraim ngailo majina mengine mengi mchongo wa rushwa tu.

Jina no.286 ni mwenyekiti zoezi la usaili
Jina no.300 nimke wake 291 aliomba usimamizi wa maudhui kahonga kapewa ukarani.

COPY AND PASTE
 
Dah ! Ila nchi ngumu hii + njaa Kali kitaa basi watu waishi like savages [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1],Ndio maana Hashim Rungwe alisema watu Wana njaa Sana ,sasa just imagine huyo ni mwalimu je majobless waliobaki kitaa ?
 
Ni zaidi ya njaa Kali jaman huku kwetu waalimu wamepachikana kwenye nafasi kama hawana mishahara vile sijui jobless tuishije
 
KKabira la watu wa kitulo Ni wakinga au wawanji? Mi nilijua kitulo ipo matamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…