mbuyake JF-Expert Member Joined Feb 20, 2013 Posts 293 Reaction score 510 Sep 18, 2014 #1 Nimelima kitunguu sasa ni mwezi wa tatu lakn hakina matunda licha ya kuweka urea mara ya pili CAN na mbegu ni bombey red
Nimelima kitunguu sasa ni mwezi wa tatu lakn hakina matunda licha ya kuweka urea mara ya pili CAN na mbegu ni bombey red
mbuyake JF-Expert Member Joined Feb 20, 2013 Posts 293 Reaction score 510 Sep 18, 2014 Thread starter #2 na uwekaji wa mbolea ya kwanza niliweka kilipofka wk 3 na ya pili kilipofka mwz 2 na je naweza kusubiri kifike miez 4?
na uwekaji wa mbolea ya kwanza niliweka kilipofka wk 3 na ya pili kilipofka mwz 2 na je naweza kusubiri kifike miez 4?
Mazingira JF-Expert Member Joined May 31, 2009 Posts 1,833 Reaction score 301 Sep 18, 2014 #3 mbuyake said: nimelima kitunguu sasa ni mwezi wa tatu lakn hakina matunda licha ya kuweka urea mara ya pili CAN na mbegu ni bombey red Click to expand... Pole mkuu umelimia maeneo gani mkuu
mbuyake said: nimelima kitunguu sasa ni mwezi wa tatu lakn hakina matunda licha ya kuweka urea mara ya pili CAN na mbegu ni bombey red Click to expand... Pole mkuu umelimia maeneo gani mkuu
mbuyake JF-Expert Member Joined Feb 20, 2013 Posts 293 Reaction score 510 Sep 18, 2014 Thread starter #4 katavi ndugu
N ntmgenesis Senior Member Joined Apr 22, 2010 Posts 167 Reaction score 30 Sep 18, 2014 #5 Kak kilimo kinaitaji uangalifu mkubwa ulipima udongo na haliya hewa huko ikoje maana kitunguu kipo sensitivu sana na hali ya hewa.
Kak kilimo kinaitaji uangalifu mkubwa ulipima udongo na haliya hewa huko ikoje maana kitunguu kipo sensitivu sana na hali ya hewa.
mbuyake JF-Expert Member Joined Feb 20, 2013 Posts 293 Reaction score 510 Sep 18, 2014 Thread starter #6 ntsgenesis kama unavyojua ukulima wa ktz upimaj wa ardhi ni jambo jingne kabisa ,ila ngoja nijipange maska nilime kingne
ntsgenesis kama unavyojua ukulima wa ktz upimaj wa ardhi ni jambo jingne kabisa ,ila ngoja nijipange maska nilime kingne
Mazingira JF-Expert Member Joined May 31, 2009 Posts 1,833 Reaction score 301 Sep 18, 2014 #7 Usisahau kuwekea dawa inaitwa Vigimax ndo nzuri Kwa kukuzia matunda ya vitunguu
mbuyake JF-Expert Member Joined Feb 20, 2013 Posts 293 Reaction score 510 Sep 18, 2014 Thread starter #8 je nikiiweka vigimax inaweza kusaidia?maana nilipiga booster lakn skuona mafanikio