[h=2]Faida za Kiafya za Kitunguu Swaumu (Garlic) Featured[/h]Wapendwa habarini za muda. Napenda niulize kwa wale wanaofahamu hususani mtaalam wetu Baba MZIZI MKAVU. Ni nini FAIDA na HASARA ya hiki kitunguu ktk miili yetu, hasa tunaokitumia kama dawa.