Kituo cha Afya Makuburi: Ulomi aliletwa hospitali na Askari

Sakata la Ulomi linazidi kuleta taswira mpya kila siku, leo Kituo cha Afya Makuburi wanasema Ulomi aliletwa kituoni kwao na Askari, tushie lipi?
Kwanini mnaumiza vichwa? Huyo jamaa wanasema alikuwa "KITENGO" na baadae akaacha kazi ,hao watu ukiacha kazi inabidi ukimbie nchi kama alivyofanya chahali ,ukiacha na kuendelea kuishi nchi lazima hayo yatokee.
 
Sipendi mapolisi mimi
 
Mazoea ya polisi kusema uongo kwenye statements zao ndo haya yanayojiri kuwaumbua

Ulomi ameuawa na hakupata ajali
 
Lazima wajichanganye wapo watu wengine wana hofu ya Mungu ndio wanasema ukweli Askari ndio walimpeleka hospital harafu hao hao askari wakawa wanatangaza kuwa wanamtafuta Ulomi aisee mbaya sana tulikofikia..
 
waanze kuchukua polisi wasomi hawa wa la saba hawaelewi chochote zaid ya kutunga ngonjera
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…