Kituo cha Afya Makuburi: Ulomi aliletwa hospitali na Askari

Halafu wewe dk Alphonsina changamka sasa. Kituo kipya madaktari hakuna wa kutosha. tangu saa 2 asubuhi hadi saa tisa mgonjwa hajatoka hospitalini. 9 Desemba daktari alifika saa 4 asubuhi kisha saa 6 akaja kwa wagonjwa anaaga kabisa "mimi muda wangu umekwisha msubirini daktari mwingine", seriously? Akaondoka, baada ya nusu saa akaja mwingine. Hivi lingetokea jambo la dharura wakati wa kusubiri dk mwingine ingekuwaje? Tunawazoom.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…