Kituo cha Afya Mbezi kiboreshe huduma, kuna kompyuta moja tu, huduma zipo slow sana

Mpepetaji

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2025
Posts
346
Reaction score
213
Mimi ni mdau wa afya ila kitu kinanikwaza kutoka Kituo cha Afya Mbezi, kituo hakina kompyuta za kutosha, vyumba vitatu vya madaktari chenye kompyuta nzima ni kimoja tu.

Tupo hapa tumelundikana kusubiri huduma uongozi hata hautoi mwafaka wanapitapita tu, kuna daktari mmoja, wengine wanazunguka tu. Mazingira yako hovyo.

Wito kwa wasimamizi watubadilishie uongozi wa kituo hiki, ni mwiba kwa jamii ya Mbezi


 
Desktop au mpakato
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…