A
Anonymous
Guest
Kituo cha afya mji wa Tunduma marufu kama Serikalini wanatoza fedha ya kumuona daktari, vipimo pamoja na kuuza dawa kwa wagonjwa wachanga wa chini ya miaka mitano
Serikali iingilie kati suala hili kwani wananchi tunateseka kwani ni kinyume na sera ya serikali ya afya ya mama na mtoto.
Serikali iingilie kati suala hili kwani wananchi tunateseka kwani ni kinyume na sera ya serikali ya afya ya mama na mtoto.