Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,991
- 24,211
Habarini,
Nataka nijiendeleze na ngumbaru kwa kidato cha nne. Kwa mipango yangu, nategemea kufanya mitihani ya kidato cha 4 kama mtahini wa kujietegemea mwakani 2015.
Nimepitia matokeo ya baadhi ya vituo kwa kweli inakatisha tamaa, sijajua tatizo kubwa ni nini hadi ufaulu wao kuwa wa chini kiasi hiki.
Ninapanga kufanya masomo 6 ambayo ni Kingereza, historia, uraia, jiografia, kiswahili na hisabati.
Naomba ushauri kwenye hili.
1. Kituo/vituo gani vimefanya vizuri zaidi, naamini katika fuata nyuki ule asali.
2. Changamoto gani zinazokuwa zinaweza kusababisha 'private candidate' kufanya vibaya kiasi hiki?
3. Ni vipi naweza kukabilaiana na changamoto hizo, ukizingatia mie ni mzazi na ninafanya kazi?
4. Ushauri wowote za ziada unakaribishwa hasa kutoka kwa walimu au watahini.
cc EMT OLESAIDIMU gfsonwin snowhite King'asti Eiyer

Last edited by a moderator: