Hahahaha!! Nimependa hii mdau..... lakini ikija bongo wanaowalinda hao hasbands nivema wawe mabaunsa ( sio wanawake)otherwise kama ni mademu jamaa wanaweza kuwachakachua huko huko .........halafu unashangaa kilasiku mwanaume anasisitiza uka mwache day care....