JamiiTalks
JF Advocacy Team
- Aug 7, 2018
- 685
- 1,124
Kwa mujibu wa kifungu cha 60(1) cha Kanuni za Chaguzi za Taifa ( Uchaguzi wa Rais na Wabunge) endapo mchakato wa kupiga kura utaingiliwa au kuharibiwa na vurugu na bado kuna wapigaji kura hawajamaliza kupiga kura, Msimamizi wa kituo ataahirisha mchakato wa kupiga Kura mpaka siku inayofuata na atatoa taarifa haraka kwa Msimamizi mkuu wa Uchaguzi
Aidha Kifungu kidogo cha 2 kinaeleza kuwa :- Iwapo Upigaji Kura utaahirishwa katika kituo chochote, masaa ya kupigia Kura katika Siku nyingine iliyopendekezwa yatakuwa sawa kama yale ya siku halisi ya kupiga Kura
Upvote
0