Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,943
Ni kweli mikopo yote wamepewa kindagateni ila mikombe na masufuria wamepewa wa viduduHivi ni kweli mikopo ya elimu ya juu wamepewa wanafunzi wa kindergarten.
mkulu wa magogoni
Ndio naweza kukutajia,ni google,yahoo na wikipedia.Nasikia utafiti uliofanywa hivi karibuni ulibainisha kuwa kati ya watanzania wanne mmoja ni kichaa, je unaweza nitajia baadhi ya hao vichaa.
Kasongo polo menyo wa Igunga Tabora.
Nasikia utafiti uliofanywa hivi karibuni ulibainisha kuwa kati ya watanzania wanne mmoja ni kichaa, je unaweza nitajia baadhi ya hao vichaa.
Kasongo polo menyo wa Igunga Tabora.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sawa,
Vichaa waliopewa mtihani wakafaulu vizuri ni pamoja na hao waliojichanganya katika kundi la watu wanne,tunashindwa kupata kuwafahamu sababu wakituona tu wanajifanya ni timamu ilhali wamevaa nguo za rangi ya kijani.
The book mbona hujajibu vizuri nakupa nafasi ya mwisho jibu tena.Ndio naweza kukutajia,ni google,yahoo na wikipedia.
Haah rudia swali.The book mbona hujajibu vizuri nakupa nafasi ya mwisho jibu tena.
Wale vichaa 45,0000 waliopo nchi nzima naweza kupata majina yao walau hata vichaa kumi, kuna ndugu yangu huwenda akawa miongoni mwao naomba majina yao.Haah rudia swali.
huyu ndugu yako nimeona jina lake ila hajapewa mkopo kabisa.Wale vichaa 45,0000 waliopo nchi nzima naweza kupata majina yao walau hata vichaa kumi, kuna ndugu yangu huwenda akawa miongoni mwao naomba majina yao.
SIXTY BUTON KUTOKA LUMUMBA, karibu na ofisi.
Mawazo ya wabongo bhana
[emoji13] [emoji13] [emoji13]Eti ni kweli kuwa Tanzania ni muungano wa nchi za Tanga na visiwa vya Zimbambwe?
Mimi ni mmoja wa wakuu wa Mikoa ya Kusini
[emoji2] [emoji1] [emoji1]kwnn Rais w Kenya anaitwa Kenyata halafu Raitwe w Tanzania aitwe Pombe? naitw wa msmbaz toka TBC
Kenya ni nchi ya ulaya ambayo haijawahi kutawaliwa na wakoloni wakati Tanzania ni moja ya kilabu ambapo wanywa pombe hujichimbia usiku na mchana huko Africa Kaskazinikwnn Rais w Kenya anaitwa Kenyata halafu Raitwe w Tanzania aitwe Pombe? naitw wa msmbaz toka TBC
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Kenya ni nchi ya ulaya ambayo haijawahi kutawaliwa na wakoloni wakati Tanzania ni moja ya kilabu ambapo wanywa pombe hujichimbia usiku na mchana huko Africa Kaskazini
Usije ludia tena Kutawaza kwa upupu wala maji ya pilipili Si Vzr kwan Vinaleta kansa Ni Vyema ukatumia Shahawa Za Mwanaume Aliye KamilikaNinatamani kutawaza kwa kutumia upupuu na Maji ya pilipili he inawezekana??? Antibakaka kutoka posta