Gloriamagret
Member
- Jun 12, 2023
- 47
- 155
Kijijini mkuu?. Naomba nikudmNimekwenda sehemu za mkoa wa pwani bush kabisa nimekuta vijana wa bodaboda wananunua petroli ya.kulima kwa chupa.
Nomeshawishika niwajengee angalau kituo simple cha petrol.
Swali kituo simple kinagarimu kiasi gani.pampu mojanya disel na petrol.vipi bei ya leseni.vibali nk.
Nina kiwanja eneo hilo barabarani na kina kibanda chenye umeme.tupeane maarifa