Kituo cha Lookman Sinza kimezuia baadhi ya Wanafunzi kufanya Mitihani ya kidato cha 4 2024

Kituo cha Lookman Sinza kimezuia baadhi ya Wanafunzi kufanya Mitihani ya kidato cha 4 2024

Pelekaroho

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2010
Posts
1,601
Reaction score
375
Mitihani ya kidato cha nne imeanza Jumatatu ya tarehe 11 Novemba.

Leo Alhamisi moja mitihani waliyofanya ni practical Biology.

Kuna kituo cha watahiniwa binafsi kipo Sinza leo wamewazuwia watoto watano wasiingie kwenye mtihani wakiwa wamefika kituoni saa moja na dk 35 na mtihani umeanza saa nne.
 
Mitihani ya kidato cha nne imeanza Jumatatu ya tarehe 11 Novemba. Leo Alhamis moja mitihani waliyofanya ni practical Biology. Kuna kituo cha watahiniwa binafsi kipo Sinza leo wamewazuwia watoto watano wasiingie kwenye mtihani wakiwa wamefika kituoni saa moja na dk 35 na mtihani umeanza saa nne.
Kwa uzoefu wangu najua practical inakuwaga na detail change huwenda detail ya kwaza ilikuwa ishaanza
 
Mitihani ya kidato cha nne imeanza Jumatatu ya tarehe 11 Novemba.

Leo Alhamisi moja mitihani waliyofanya ni practical Biology.

Kuna kituo cha watahiniwa binafsi kipo Sinza leo wamewazuwia watoto watano wasiingie kwenye mtihani wakiwa wamefika kituoni saa moja na dk 35 na mtihani umeanza saa nne.
Ni sahihi azuiliwe maana mtihani unafunguliwa sa moja kamili,nusu saa ikishapita baada ya mtihani kufunguliwa tunaasume una lako jambo
 
Weka sawa mwenye mamlaka ya kuzuia mtahiniwa asifanye mtihani ni kituo au msimamizi wa kituo aliyeteuliwa ?
 
Back
Top Bottom