Kituo kinafanya kazi au kilikua hakijaishaKituo kipo barabara ya Bagamoyo/Mlandizi, eneo tambarare kabisa, kina matanki 3 chini tayari na nyumba/ofisi tayari . Bei ni 150M . Hakuna kituo chochote karibu katika hii barabara na barabara nzima yenye umbali wa 35km kuna kituo kimoja tuu .
Karibu kwa mazungumzo 0764452424 / 0785452424
We Tajiri wa Mafuta na Gesi unakosa hela ndogo hivyo?150 M binafsi sina
Mbona kipo porini hakuna makazi karibu sasa majambazi si wanaweza wakawa ndio sehemu ya wao.kupata mtaji wao wa kola siku!Kituo kipo barabara ya Bagamoyo/Mlandizi, eneo tambarare kabisa, kina matanki 3 chini tayari na nyumba/ofisi tayari . Bei ni 150M . Hakuna kituo chochote karibu katika hii barabara na barabara nzima yenye umbali wa 35km kuna kituo kimoja tuu .
Karibu kwa mazungumzo 0764452424 / 0785452424