Kituo cha maziwa Kiluvya (ufugaji wa ng'ombe)

Northern Lights

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
395
Reaction score
357
Hello farmers,

Nimesikia pale Kiluvya kuna kituo cha maziwa, ningependa anayepafahamu ashee ni maeneo gani na mmiliki ni nani.

Nataka kuanza kufuga kwa ajili ya maziwa kwa hiyo nataman kujifunza zaidi.

Yeyote pia anayefuga kibiashara naomba kujifunza shambani kwako.

Shukrani
 
Do they test ubora na usafi wa maziwa au wanachanganya tu from different sources? Kama mtu kapeleka maziwa hayajakidhi viwango vya ubora arudi na maziwa yake; watu wengine ni wachafu sana. Ng'ombe yuko kwenye dozi yeye hajali anauza tu!
 
Ni umoja wanwafugaji ng'ombe ndio huwa wanapeleka maziwa yao pale, kawatembelee ukajifunze
 
Do they test ubora na usafi wa maziwa au wanachanganya tu from different sources? Kama mtu kapeleka maziwa hayajakidhi viwango vya ubora arudi na maziwa yake; watu wengine ni wachafu sana. Ng'ombe yuko kwenye dozi yeye hajali anauza tu!
Ndio wa test ubora kabla hawayajayachukuwa na wakiona hayajafikia kiwango wanachokitaka hawayachukui, kunavipimo wanavyo hapo hapo. Na usafi wa pale kituoni ni wa hali ya juu sana wanajitahidi sana kwakweli.
 
Hello farmers,

Nimesikia pale Kiluvya kuna kituo cha maziwa, ningependa anayepafahamu ashee ni maeneo gani na mmiliki ni nani.

Nataka kuanza kufuga kwa ajili ya maziwa kwa hiyo nataman kujifunza zaidi.

Yeyote pia anayefuga kibiashara naomba kujifunza shambani kwako.

Shukrani
Fika pale utapata taarifa za kina. Ila ninavyofahamu baada ya kuishi pale kwa miaka kadhaa ni kwamba ule ni mradi wa wafugaji wa Kiluvya, wenyewe rasmi umoja wao inaitwa CHAWAKIM (Chama cha Wafugaji Kiluvya na Mpiji). Hupeleka maziwa asubuhi na jioni na kuandikisha na baada ya muda hulipwa kwa kiasi cha maziwa waliyopeleka.
 
Ndio wa test ubora kabla hawayajayachukuwa na wakiona hayajafikia kiwango wanachokitaka hawayachukui, kunavipimo wanavyo hapo hapo. Na usafi wa pale kituoni ni wa hali ya juu sana wanajitahidi sana kwakweli.
Hapa nakubaliana na wewe kwa asilimia zote, mimi ni mteja wa muda mrefu sana pale, ubora wa maziwa, usafi wa mazingira wanaufanya kwa kiwango kinachostahili. Nafikiri uzoefu wao wa mura mrefu sana walio nao ndio umewafanya wadumu sana katika hiyo biashara.
 
Mradi wa kufuga ng'ombe wa maxiwa ni mzuri sana hasa kwa Dsm au maeneo ya karibu kwa sababu soko lake ni kubwa sana
 
Back
Top Bottom